Mswada wa matumizi ya fedha Kenya ambao, kati ya mengine, unapendekeza wafanyakazi wa serikali kutozwa kodi ya 3% ya mishahara yao ili kugharamia mradi wa ujenzi wa nyuma umeibua utata huku baadhi ya wafanyakazi wakitishia kugoma.