Wapinga ufalme wa Uingereza siku ya Jumapili walikosoa usimamizi wa Polisi katika hafla ya kutawazwa kwa Mfalme Charles III kama unyanyasaji, wakisema hakuna haki tena ya maandamano ya amani nchini Uingereza baada ya darzeni ya waandamanaji hao kukamatwa na kuzuiliwa hadi usiku