Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji wa Polisi nchini Kenya (IPOA) Jumanne imesema kuwa inachunguza jinsi maafisa wa polisi walivyokabiliana na waandamanaji huku ikielezwa kamba angalau mtu mmoja alikufa na 238 kukamatwa Jumatatu nchini humo.