Kutana na Fatuma Saidi Msafiri, msichana mwenye shahada ya udaktari na pia ni msanii katika fani ya uimbaji. Ungana na mwandishi wetu Abdushakur Aboud kusikiliza safari yake Fatuma katika ulimwengu wa muziki akisisitiza anaendelea na fani yake ya udaktari kwenye mahojiano haya maalum.