Meza ya Waandishi: Waandishi wanaangazia kwa kina taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii zikiwa ni pamoja na Ziara ya Makamu Rais wa Marekani Kamala Harris barani Afrika, kufunguliwa mashtaka dhidi ya rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na Maandamano yanayoongozwa na upinzani Kenya.