Kampuni ya Huawei, imezindua simu mpya ukiwa ni mfululizo wa simu zake muundo wa P60. Huawei inasema simu hizo, zina kamera zinazotumia teknolojia iliyoimarishwa zaidi, na zinaweza kushindana vilivyo, na zile za makampuni ya Apple na Samsung.