Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Mei 27, 2024 Local time: 05:21

Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter aanza matibabu ya nyumbani


Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter aanza matibabu ya nyumbani
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter ambaye ana umri wa maiak 98 ameanza matibabu ya nyumbani ambako anatunzwa na familia yake pamoja na wahudumu wa afya. Carter aligunduliwa kuwa na saratani mnamo mwaka wa 2015.

XS
SM
MD
LG