Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 06:22

Waasi washambulia vituo vya afya DRC, wadaiwa kuua wauguzi


Waasi washambulia vituo vya afya DRC, wadaiwa kuua wauguzi
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:43 0:00

Waasi washambulia vijiji katika wilaya ya Beni, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kupora dawa. Pia wamekuwa wakiwaua wahudumu wa afya na kuwateka. Katika makala hii maalum mwandishi wetu anakuletea ripoti kamili ya hujuma inayofanywa na waasi nchini humo. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG