Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 23, 2023 Local time: 01:30

Papa Francis awashukuru watu wa Sudan Kusini kwa upendo waliomuonyesha


Papa Francis awashukuru watu wa Sudan Kusini kwa upendo waliomuonyesha
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Papa Francis aliwasihi watu wa Sudan Kusini siku ya Jumapili kupinga “sumu ya chuki” ili waweze kupata amani na ustawi ambao umewakimbia kupitia miaka mingi ya vita vya kikabila vya umwagaji damu.

XS
SM
MD
LG