Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Februari 07, 2023 Local time: 12:14

Mchoraji wa Congo atumia taka kutengeneza rangi kuchora picha zake


Mchoraji wa Congo atumia taka kutengeneza rangi kuchora picha zake
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:00 0:00

Mchoraji wa Kinshasa atumia taka za plastiki kutengeneza rangi ili kutumia katika uchoraji wake.

Patrick Cikuru Cirimwami, pamoja na wenzake hukusanya taka za plastiki katika eneo linalotupwa taka mjini Kinsahasa halafu anachukua anakwenda kuchoma ili kupata rangi anayotumia kuchora picha zake hasa sura za viongozi wa Congo na wanasiasa.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG