Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Oktoba 08, 2024 Local time: 20:56

Russia yavunja jumba la kihistoria la Sinema huko Mariupol

Mabaki ya sanamu na vifusi vingine viko mbele ya kinu cha chuma cha Azovstal, ambacho kilikuwa mahali pa mwisho katika mji wa Mariupol wa Ukraine kuanguka kwa vikosi vya Russia mwishoni mwa Mei 2022.AP

Mamlaka imeamua kuvunja jumba la kihistoria la Sinema huko Mariupol katika juhudi za kufuta mabaki yote ya Ukraine katika mji huo.

Kote huko Miarupol, wafanyakazi wa Russia wanabomoa majengo yaliyopigwa mabomu kwa kiwango cha jengo moja kwa siku, na kuondoa miili na vifusi.

Ubomoaji katika jengo la sinema ulianza Alhamisi. Jengo hilo lilitumika kama sehemu ya kujikinga na mashambulizi ya mabomu mpaka March 16 mashambulizi yalipoua mamia ya watu.

XS
SM
MD
LG