Breaking News
Alhamisi, Novemba 26, 2026 Local time: 15:33

Wazazi waaswa wajihusishe zaidi katika maisha ya watoto wao.


Wazazi waaswa wajihusishe zaidi  katika maisha ya watoto wao.

No media source currently available

Huko Tanzania matokeo ya kitaifa ya mtihani wa darasa la nne na kidato cha pili kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka 2022 yameshuka ikilinganishwa na 2021 Wadau wamewataka wazazi wajihusishe zaidi katika maisha ya watoto wao.

XS
SM
MD
LG