Wakati Republican wakirejesha udhibiti wa bunge ambalo linahitaji spika mpya. Kiongozi wa Chama cha Republican Kevin McCarthy ndiye anayepigiwa upatu wa kukaimu nafasi ya spika lakini wapinzani wachache wamekuwa chanzo cha maumivu ya kichwa kwa Kevin McCarthy na washirika wake