Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 23:14

Mashirika ya kiraia yasimamisha shughuli zake Afghanistan


Mashirika ya kiraia yasimamisha shughuli zake Afghanistan
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Mashirika matatu makubwa ya kiraia yasimamisha shughuli zake baada ya Taliban kukataza wafanyakazi wanawake. Wakazi wa kambi za wakimbizi Goma walalamika kutaabika katika kipindi hiki cha sikukuu.

XS
SM
MD
LG