Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 25, 2024 Local time: 20:53

Morocco imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kusonga mbele nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Portugal

Morocco imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kusonga mbele nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Portugal
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Bao la ushindi lilifungwa dakika za mwisho za kipindi cha kwanza wakati Youssef En-Nesyri alipoteleza na kushinda kwa kichwa krosi iliyopigwa na Yahya Attiat-Allah. Kipa wa Portugal Diogo Costa alijaribu kumzuia En-Nesyri kwa krosi lakini En-Nesyri alimruka kila mmoja na kuutumbukiza mpira wavuni

XS
SM
MD
LG