Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Novemba 26, 2022 Local time: 12:24

Habari za kutatanisha kuhusu mapigano ya Kibumba, DRC


Habari za kutatanisha kuhusu mapigano ya Kibumba, DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:37 0:00

Wakuu wa jeshi la DRC wanasema wameweza kuwazuia wapiganaji wa M23 kuuteka mji wa Kibumba lakini kuna ripoti kwamba wapiganaji hao wanasonga mbele na wameteka sehemu ya mji huo.

XS
SM
MD
LG