Mkutano huu uliopangwa kufanyika Novemba 23 unatokana na mapigano yanayoendelea mashariki mwa DRC na pia kuangalia namna serikali ya DRC mara kadhaa imekuwa ikiishutumu serikali ya Rwanda kwa kuliunga mkono kundi la M23 shutuma ambazo Rais Paul Kagame alikanusha