Breaking News
Alhamisi, Novemba 26, 2026 Local time: 17:05

Jeshi la Eswatini lafyatulia risasi waandamanaji


Jeshi la Eswatini  lafyatulia risasi waandamanaji

No media source currently available

Takriban madereva 100 wa mabasi madogo na mabasi ya abiria waliingia barabarani katikati mwa jiji la Manzini kutaka watu wanne waliokamatwa mapema wiki hii waachiliwe huru .

XS
SM
MD
LG