Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 19:34

Zaidi ya wanajeshi 3,000 wapya waanza mafunzo nchini DRC


Zaidi ya wanajeshi 3,000 wapya waanza mafunzo nchini DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Zaidi ya wanajeshi 3,000 wapya walianza mafunzo Jumatatu nchini DRC huku jeshi la nchi hiyo likiimarisha mapambano yake dhidi ya waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na nchi jirani ya Rwanda.

XS
SM
MD
LG