Tuzo ya Africa Evidence Leadership inatolewa kila mwaka kwa watafiti na viongozi na wadau wanaofanya kazi zenye mrengo wa kupelekea maendeleo barani Afrika. Mwaka huu mshindi wa tuzo hiyo ametoka nchini Tanzania kwa mara ya kwanza akieleza na kuwahimiza vijana wenzake kufanya kazi za utafiti.