Wanaharakati wa kisiasa na mashirika ya kiraia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanataka umoja wa mataifa - katika kikao chake cha 77 mjini New York - kujadili na kuidhinisha kuondolewa kwa wa ujumbe wa Monusco nchini humo kwa tuhuma za kushindwa kutekeleza majukumu yake.