Ghasia zinaendelea katika kisiwa cha Comoros cha Nzwani kutokana na ukosefu wa mchele na kupanda kwa bei za vyakula. Serikali ya ahidhi kuagizia mchele zaidi kwa haraka. Na mashirika ya ndege ya Afrika Mashariki yanakumbwa na hasara kubwa za biashara