Uchaguzi wa spika wa Kenya katika Bunge la Kitaifa na Seneti unatazamwa huku Muungano wa Rais mteule William Ruto wa Kenya Kwanza una wagombea wawili wanaowania na Azimio la Umoja la Raila Odinga pia lina watu wawili wanaowania wadhifa wa Spika katika Bunge la Kitaifa.