Serena Williams aliyecheza kwa uhodari aliwaaga washabiki wake kwa huzuni katika michuano ya U.S. Open. Wachambuzi wanasema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 40 alishinda taji lake la kwanza la Grand Slam mnamo mwaka 1999 akiwa mchezaji mwenye umri wa miaka 17 tu.