Ujumbe wa majaji wa Afrika tayari wafika Kenya kuangalia utendaji wa mahakama katika kesi ya uchaguzi wa Kenya. Polisi wa Madagasca wadaiwa kusababisha vifo vya watu 14 katika maandamano yaliyo chochewa na kutekwa kwa mtu mwenye ulemavu wa ngozi.