Tunamulika matukio ya maamuzi ya Raila Odinga kwenda mahakamani na uchaguzi wa magavana katika Kaunti za Kakamega na Mombasa na changamoto za sensa nchini Tanzania halikadhalika uchaguzi wa Angola ambapo chama tawala kinaongoza na kuelekea kupata ushindi.