Aliyekuwa mgombea urais nchini Kenya, Raila Odinga, amesema kwamba hakubaliani na matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyotangazwa Jumatatu na Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini humo IEBC, na kwamba atachukua hatua zilizoainishwa kikatiba kuyapinga.