No media source currently available
Mivutano ya kisiasa na kibiashara kati ya Marekani na China imeongezeka hadi kupelekea rais Joe Biden kuomba mazungumzo kwa njia ya simu na mwenzake wa Chijna Xi Jingping.