Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Antony Blinken, amezisihi Rwanda na DRC kumaliza tofauti zao. Tume ya uchaguzi ya Kenya, IEBC yatazamiwa kutoa matokeo ya uchaguzi kuelekea mwishoni mwa juma.