Breaking News
Alhamisi, Novemba 26, 2026 Local time: 20:10

Mfanyabiashara nchini Marekani kutoka Tanzania aeleza mafanikio na changamoto zake.


Mfanyabiashara nchini Marekani  kutoka Tanzania aeleza mafanikio na changamoto zake.

No media source currently available

Mfanyabiashara wa vyakula Janet Gabagamu mmiliki wa Joy Catering aliyeko Minnesota, anasema mapenzi yake katika mapishi yalimwingiza katika biashara hiyo. Na anaeleza changamoto zilizopo kama mfanyabiashara Mhamiaji nchini Marekani.

XS
SM
MD
LG