Wanatumia mitandao mara nyingi hujipata katika mazingizra ambapo mitandao hiyo si salama, hali ambayo inaweza kuwa na madhara chungu nzima. Tunazungumza na mmoja wa wataalam wa masuala ya mitandao ambaye anatoa ushauri nasaha kuhusu umuhimu wa mitandao salama.