Wawakilishi wa Wagombea Urais nchini Kenya waenda Ugiriki kukagua uchapishaji wa karatasi za kupigia kura za urais na kampuni ya uchapishaji ya Inform Lykos, ambayo imepewa kandarasi na tume ya uchaguzi ya Kenya IEBC kufanya uchapishaji wa karatasi za kupigia kura.