Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 15:19

Afrika Kusini yakumbwa na ukosefu wa umeme nchini kote


Afrika Kusini yakumbwa na ukosefu wa umeme nchini kote
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Kwa zaidi ya saa tisa, raia wa Afrika Kusini Jumamosi walibaki katika giza kutokana na kukosekana umeme kwenye makazi yao na biashara kote nchini humo, ambao ni muda mrefu zaidi kukosekana kwa umeme katika miaka ya karibuni.

XS
SM
MD
LG