Wakati mgombea urais kwa tikiti ya chama cha UDA. William Ruto, akizindua manifesto ya muungano wa Kenya Kwanza, vijana wanatathmini yaliyomo ikilinganishwa na manifesto za vyama au miungano mingine.