KWA UNDANI: Ushahidi wa kushangaza unaendelea kutolewa kwenye kuhusu uvamizi wa bunge la Marekani Januari 6 2021.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.