Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kenya na mashirika mengine sita ya kiraia yanaeleza uamuzi wa IEBC unatishia kuwafungia nje wapigakura wengi waliohitimu zoezi hilo iwapo mitambo ya kielektroniki ya kutambua wapigakura itashindwa kufanya kazi siku ya uchaguzi Agosti 9