Mjumbe maalum wa China kwa Pembe ya Afrika Xue Bing alitoa maoni kwenye mkutano wa kwanza wa China juu ya utawala na maendeleo katika pembe ya Afrika unaofanyika nchini Ethiopia kwamba machafuko, mgawanyiko wa kikanda unaongezeka huku amani na maendeleo yanakabiliwa na upinzani