Mabalozi hao ambao miongoni ni kutoka Marekani miongoni mwa mataifa mengine wamekutana na waziri wa mambo ya kigeni wa Burundi na kulalamikia rasmi ukosefu wa haki za kibinadamu, suala ambalo amekanusha na kusema kwamba ni tetesi za uongo kutoka baadhi ya asasi za kiraia.