Wamarekani wanaadhimisha siku ya mashujaa , ambayo inawakumbuka wanajeshi wa Marekani waliokufa wakilitumikia taifa lao. Gwaride lilifanyika mjini Washington baada ya kutofanyika kwa miaka miwili kwa sababu ya janga la COVID.