Kikundi kimoja cha vijana nchini Burundi, kimezindua mradi wa kitaifa, uitwao #VisitBurundi unaolenga kuwavutia watalii wa kimataifa, ili kutembelea maeneo mbalimbali ya taifa hilo la Afrika Mashariki, ambalo lina sifa ya moja ya nchi maskini Zaidi duniani, zilizogubikwa na mizozo.