Breaking News
Alhamisi, Novemba 26, 2026 Local time: 23:15

Tanzania yaadhimisha maika 58 ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar


Tanzania yaadhimisha maika 58 ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar

No media source currently available

Serikali ya Tanzania imesema kwamba kero 18 kati ya 25 za muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimetatuliwa huku baadhi ya wananchi wakiwa na maoni mseto kuhusu mafanikio ya muungano huo.

XS
SM
MD
LG