Muungano wa Azimio la Umoja Kenya Moja Jumatano ulitangaza kwamba mchakato uliokuwa uanze wa kuwahoji wawaniaji wa nafasi ya naibu wa rais umesitishwa baada ya utata kuhusu mchakato huo kuibuka.