Vitendo hivi vimetajwa kuwa bado vinaendelea katika vyumba vya habari na wanafunzi wa elimu ya juu katika eneo la Afrika Mashariki hususan Tanzania lakini imekuwa ni siri kubwa kwa wanawake waofanyiwa vitendo hivyo kwani huwa hawatoi taarifa kwenye vyombo vya sheria.