Katazo la Bodaboda na Bajaj kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam, lasimamishwa na waziri Bashungwa. Jamii yaelezwa kuwa makini na mitazamo kwamba waschana wanaoweka picha zao kwenye mitandao ya kijamii si wote wenye nia mbaya. Jamii yatakiwa kukemea ulawiti na ubakaji kwa watoto.