Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Oktoba 06, 2024 Local time: 13:27

Bei ya mafuta Kenya yaongezwa huku uhaba ukiendelea kushuhudiwa kote nchini


Bei ya mafuta Kenya yaongezwa huku uhaba ukiendelea kushuhudiwa kote nchini
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Mzozo wa uhaba wa mafuta nchini Kenya unaendelea kutokota licha ya Waziri wa kawi Monica Juma kutangaza hatua kali alizosema zitachukuliwa dhidi ya wanaohodhi bidhaa hiyo huku bei ya mafuta ikiongezwa na mamlaka ya EPRA.

XS
SM
MD
LG