Bunge la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) limemfukuza kazi waziri wa uchumi wa nchi hiyo Jean-Marie Kalumba kwa tuhuma za uongozi mbaya. Wabunge hao wa DRC walichukua uamuzi huo Jumatano wakati wa kikao kilichokuwa na mvutano mkubwa mjini Kinshasa