Leo kati ya mengine, tutakueleza jinsi taka za plastiki zinasabisha uharibifu wa mitambo ya kuzalisha umeme nchini DRC na kupeleka uhaba wa mara kwa mara wa nishati hiyo, hali ambayo inaathiri biashara katika miji mbalimbali.