Breaking News
Ijumaa, Novemba 27, 2026 Local time: 00:35

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) kuchangisha dola bilioni moja ili kuzuia mzozo wa chakula Afrika.


Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) kuchangisha dola bilioni moja  ili kuzuia mzozo wa chakula Afrika.

No media source currently available

Rais wa benki hiyo Akinwumi Adesina alisema AFDB inapanga kuzindua mpango wa dharura wa uzalishaji wa chakula ambao utazingatia kukuza kwa haraka pato la ngano, mahindi, mchele na soya.

XS
SM
MD
LG