Tume ya uchaguzi nchini Libya imesema kwamba haitawezekana kwa nchi hiyo kuandaa uchaguzi mkuu ijumaa hii.
Badala yake, tume hiyo imependekeza kwamba uchaguzi uahirishwe hadi Januari 24 mwaka ujao 2022.
Spika wa bunge ametakiwa kuanza kupanga upya maandalizi ya uchaguzi huo.