Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 09, 2021 Local time: 15:58

Zulia Jekundu Ep. 356: Mgahawa mpya wa Swahili Village Consulate wafunguliwa Washington D.C.


Zulia Jekundu Ep. 356: Mgahawa mpya wa Swahili Village Consulate wafunguliwa Washington D.C.
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:01 0:00

Ndani ya Zulia Jekundu: Jina la mgahawa wa Swahili Village huenda siyo geni kwa watu wanaoishi hapa Washington DC na vitongoji vyake, lakini sasa mgahawa pacha wa Swahili Consulate katikati ya mji wa DC umefunguliwa rasmi Jumanne jioni na unatarajiwa utakuwa kivutio kikubwa kwa watu wengi.

XS
SM
MD
LG